Cole Williams
JF-Expert Member
- Jun 1, 2016
- 35,345
- 201,629
Leo kanzu muhimu mkatalunya
Asante MkatalunyaIjumaa kareem Mkatalunya
#msalimiewakishuathehappiness
Heheh! Gauni la kiume lazima lihusike leoLeo kanzu muhimu mkatalunya
Leo kanzu muhimu mkatalunya
Mambo TH? Nakutakia Ijumaa njema kama ama zaidi ya hii yangu!Helloo Coco, GoodMorning.
Coookie!! Nilikumiss sana Mrembo wangu,..Hivi ulipotelea wapi mr handsome?
Niko vyema ,hofu kwako?Mambo TH? Nakutakia Ijumaa njema kama ama zaidi ya hii yangu!
Nimepokea salamu, ijumaa imeanza salama lakin wakatalunya??
Ijumaa yetu pia imenyooka sana Mkatalunya ....Nimepokea salamu, ijumaa imeanza salama lakin wakatalunya??
[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]
#niendewapisasa
#niperamanibasi
Naendelea poa, wanao hawajambo. Nahisi ulienda Mars maana huko ndo jf haipatikani. Karibu tena!Coookie!! Nilikumiss sana Mrembo wangu,..
Unaendeleaje, wanetu hawajambo?
Nilisafiri Cookie,. Ila sasa nipo hapa. Hope una siku njema sana Leo!
Inapendeza sana.!Ijumaa yetu pia imenyooka sana Mkatalunya ....
#hamnamaananyie
#mnaumizavichwakupatavazilakuangaliziamovietu
#ramaninakupajesasanaweweupombalihuko