mzee wa liver
JF-Expert Member
- Dec 14, 2014
- 83,467
- 431,962
Morng vipi habari za TAMorning All,
Morng vipi habari za TAMorning All,
Hatari sanaWalisema Wanamshikilia Erick Kabendera Kwasababu Ya Uraia, Sasa Wanasema Anakosa La Mtandao Kwa Habari Iliyochapishwa Siku Ya 2 Baada Ya Erick Kukamatwa. Ndugu Kama Bado Unaamini Waliomkamata Hawakua Na Nia Ya Kumteka, Sehemu Yoyote Utakaposikia Neno ZEZETA Simama Na Useme NIPOOO
View attachment 1170086
MorningAsie mpenda ndugu yake anaemuona hawezi kumpenda Mungu asiemuona ...
Heri uamini Mungu yupo halafu uende ukamkose lakini useme hayupo halafu umkute amekaa kwenye kiti chake cha enzi Rafiki maji utaita mmaAsie mpenda ndugu yake anaemuona hawezi kumpenda Mungu asiemuona ...
Noma sana noma sana, 2010 hiyoOmarion-Speedin’[emoji445][emoji445][emoji445][emoji445][emoji445][emoji445]
#😂😂😂😂Inapendeza sana.!
#hehehe
#hizomambosinagakwanzahatamoviesiangalii
#usininyimeconnection
Hahah! Morning mkuuMorning
Umekuwa baba mchungaji
Woootee wasiponiamini sina shaka na wewe kijana mpoleHivi tuhuma za wewe kutuingiza Chaka zina ukweli wowote
#hatanimesahauishuyenyeweBintimpole
Hamnaga hio
Kweli wengine wasindikizaji 😀Hamnaga hio
#simuinapigwaboutiquekuagizapambamatata