moudgulf
JF-Expert Member
- Jan 23, 2017
- 159,165
- 777,891
Pingu hizo ng'wanawane...
Zina kazi yake [emoji16][emoji16][emoji16][emoji2221][emoji2221][emoji2221]
View attachment 1171272
Ukikubali kufungwa waweza kuuliwa [emoji16][emoji16][emoji16]Pingu za maisha[emoji23][emoji23]
Hahaha mabaharia noma broHii verse wameitumia sana mabaharia kuwaacha watoto wawatu kwenye mataa.
Natumai mwezi umeanza vizuri pande hizo.
Ukikubali kufungwa waweza kuuliwa [emoji16][emoji16][emoji16]
Angalia vizuri hiyo picha husika. Jimama hilo. Liko tayari kumfunga mtu ili limshughulikie sawasawa. If he dies he dies [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]Kivipi kamanda..
[emoji16][emoji16][emoji16]. Drone in trouble....