Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

FB_IMG_1564756588871.jpeg
 
Florentin Pogba, mwenye umri wa miaka 28- anayechezea zaidi guu la kushoto katika timu ya kimataifa ya Guinea safu ya kati-nyuma kwa sasa anaangaliwa na MLS Atlanta United ambaye ana kaka yake anayechezea safu ya kati ya mashambulizi ya Manchester United Paul, amepewa nafasi katika timu ya ligi ya pili ya Uhispania Fuenlabrada. (AS)
 
Hull watapata faida ya pauni milioni £9.45 kutokana na mauzo ya mlinzi wake wa zamani Harry Maguire kutoka kwa Manchester City. The Tigers walikubali mkataba wa 15% juu ya faida ya uhamisho walipomuuza kijana huyo mwenye umri wa miaka 26 kwa Leicester in 2017. (Hull Daily Mail)
 
Mlizi wa England Harry Maguire, mwenye umri wa miaka 26, ameachwa nje ya kikosi cha Leicester kitakachocheza mechi ya urafiki baina yao na Atalanta Ijumaa kutokana na hali ya sintohfahamu juu ya hali ya yake ya baadae na Foxes wanaotaka mkataba wa pauni milioni 90 ikiwa Manchester United wanasaini mkataba nae. (Telegraph)
 
Dau la sasa la Manchester United kwa ajili ya Maguire ni la thamani ya pauni milioni 80 na klabu hiyo inaweza kutumia zaidi ya pauni milioni 150 kwa ujumla kabla ya kipindi cha mwisho cha mchakato wa uhamisho kukamilika (Independent)
 
Back
Top Bottom