Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Mdudu huyu.........[emoji2089][emoji2089][emoji2089]
FB_IMG_1564807936555.jpeg
 
Nini maana ya haya maneno Wakuu

1. Mbugu
2. Ma’a
Haya ni majina ya lugha bro huko milima ya Usambara Tanga. Baadhi ya wanaisimu hudhani kuwa hizi ni lugha moja (japo haijulikani ipi ni lahaja ya ipi) na wapo wanaodhani kuwa ni lugha tofauti (mzozo huu upo pia kati ya Kisukuma na Kinyamwezi).

Kimbugu/Kima'a kina upekee sana kwa sababu ni mojawapo ya lugha chache mchanganyiko. Sarufi yake kwa kiasi fulani inafanana fanana na ya lugha za Kibantu na hasa Kipare (mf. Ngeli za majina, mnyumbuliko wa vitenzi n.k) lakini lugha hii ina msamiati mwingi wa lugha za Kikushi (mf. Kioromo na Kisomali). Ni kwa sababu hii lugha hii hutambuliwa kama lugha mahuluti/mchanganyiko wa Kibantu na Kikushi na wanaisimu wengi.

Natumaini hii imekupa mwanga kidogo bro [emoji1545][emoji1545]
 
Back
Top Bottom