Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Wako tayari kufanya jambo lolote bila kujali hatari zitakazowapata ili angalau wajifunze kitu.
Waliondoka kwao Ulaya kuja Afrika na kwingineko duniani bila kujua wanakwenda wapi na kama watarudi. Na wengi wao waliteketea lakini wachache waliofanikiwa kurudi walipeleka habari. Matokeo yake walitawala dunia nzima...

Lakini sisi mhh !!!
 

Yeah Bro shukrani sana
 
Mwafrika anakigopa kifo kupita kiasi.
Tutaendelee kudumaa kwa sababu hiyo.
Waliondoka kwao Ulaya kuja Afrika na kwingineko duniani bila kujua wanakwenda wapi na kama watarudi. Na wengi wao waliteketea lakini wachache waliofanikiwa kurudi walipeleka habari. Matokeo yake walitawala dunia nzima...

Lakini sisi mhh !!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…