Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Mkufunzi wa Newcastle Steve Bruce anasema kuwa atamuomba mmiliki wa klabu hiyo Mike Ashley kuongeza wachezaji zaidi kabla ya kufungwa kwa dirisha la uhamisho siku ya Alhamisi na anasema kwamba anamtaka mshambuliaji wa Uingereza Dwight Gayle, 28, kusalia katika klabu hiyo licha ya hamu kutoka klabu ya Leeds..(Newcastle Chronicle)
 
Leicester wameripotiwa kumlenga beki wa Getafe na Togo Djene Dakonam, 27, kujiunga na klabu hiyo ili kuchukua mahala pake beki wa Uingereza ambaye anataka kujhiunga na Man United Harry Maguire, 26. (Leicester Mercury)
 
Kila mwanamke anavitu vyake alivyojiwekea, ambavyo anataka mwanaume wa ndoto zake awe navyo. Ikitokea akampata Mwenye hivyo vitu basi huona kamaliza kila kitu, anajisahau, anafurahia vile anavyoviona kwa nje na kitandani, badala aanze kumsoma huyo Mwanaume.
 
Kama ni husband material….
Wanawake ndio wanaongoza kwa kulizwa Sana kwenye mahusiano kuliko wanaume, kwasababu mwanamke akishampata mwanaume aliyekuwa anamtaka basi atampenda kwa kila kitu, moyo na mwili wake wote kwa haraka wakati yeye mwanaume hakupi vyote anakuangalia kwanza mpaka atakapoona kweli ndio kitu anachokitaka ndio ataanza kukupenda kwa ukweli sasa.
 
Lakini akiona hakuna kitu atakuchukulia poa poa na baadaye anakupotezea, sasa wewe uliyekufa na kuoza lazima upate ugonjwa wa moyo.
Mwanamke usiende kwenye mahusiano kwa kuangalia picha ya nje, anza kwanza kumwangalia Kama anaweza kuwa Mume na je unampenda kweli, ukijihakikishia hapo anza kuwa wife material msaidie mwanaume hata kwa mawazo tu sio unakaa tu kazi yako wewe ni kuzungusha kiuno tu.
 
1.Epuka kulipiza kisasi, mwachie Mungu na kubali yote yaliyotokea na kuruhusu yapite.
Unapoachwa ni kama adhabu;fulani hivi kwani akilini mwako utajiona kama huna thamani na kuanza kujitoa kasoro kwa kujiuliza maswali kibao mfano sikumridhisha, sina mvuto na mambo mengi utafikiria.Kipindi hiki unashauriwa kufunga mlango kabisa kwa ex wako tena ikubali hali hiyo ikupite ili ukaribishe maisha mengine ya furaha huku ukimuomba Mungu kwa sana.
 
2.Epuka kusikiliza nyimbo za huzuni au kubembeleza.
Baada ya kupigwa chini na mpenzi wako, epuka kusikiliza nyimbo za huzuni au mapenzi zenyekubembeleza hizi zitakufanya ufikirie majanga yaliyokukuta badala yake sikiliza nyimbo za kufurahisha zenye kuchezeka na zenye kukufanya ujione wewe ni mshindi muda wote na mwenye furaha.
 
3.Epuka kuita mahusiano yako ni magumu (Complicated).Watu wengi hususani wanawake wanapoulizwa na wanaume kuhusu status zao za mahusiano asilimia kubwa majibu yao nina mtu lakini tumezinguana, majibu ambayo huwafanya waumie kisaikolojia hii ni kutokana na kujiona kuwa umri unaenda na bado hawajapata mtu wa kuishi nae.
 
Back
Top Bottom