cocochanel
Platinum Member
- Oct 6, 2007
- 29,011
- 79,226
Subiri, subiri, tajaa bahari.
Aisee hizi methali nyingine ni kwikwiSishue dau na maji yajaa.
Hii ni samaki mkunje angali bichi au hii ni methali mpya ya mwaka huu 😃😃😃😃Samaki angali majini, usimhesabu katika kundi lako