BAK
JF-Expert Member
- Feb 11, 2007
- 124,767
- 288,340
Hapo umeshafanya usafi wa hatari [emoji3][emoji3][emoji3]
Wanaume tumeumbwa mateso
Wapi huko Mkuu? Tokyo?
Ndo mishikaaaakiiiDaa, ndio nini sasa? [emoji16]
Nilikuwa sijagonga likes tokea masaa 23 yaliyopita, nimeanzia nilipoishia na sasa nimefika huku mbele.
Kila aliyeweka post huko nyuma nimempa haki yake
Najaaaa🏃🏃Kunipoza machungu hayo ni rukhsa kabisa [emoji16][emoji16][emoji16]
WoiiiGolden WATER
Ndo mishikaaaakiii
Okay, kumbe nawe uko kama mimi. Ndiyo maana mara nyingi nakuta umeniwekea likes za kufa mtu hata kwenye post zangu za nyuma. Mie leo nilianzia page 50257 na nikapiga likes page zangu 30 na ushee hivyo nilifika hadi 50287 and then some.
Njoo hapa Tilapia, kuna Li Sato likubwaa nimekubakishia! [emoji39]
Asante mkuuhahahahaha pole sana.