Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Image may contain: sky, outdoor and water
 
Muongo huyo [emoji1787][emoji1787] kuna siku nilisikia wadada wakitoa ushuhuda humu kuwa wanaume wote jf ni matajiri, wanamiliki ukwasi wa kotosha[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kauli hiyo ilinipa faraja kamanda ingawa sina lolote la kujivunia [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kuna mtu leo kanipa makavu mpaka nikashtuka. Eti....

"Hakuna mtu mwenye hela anayeshinda JF akila likes"

Kauli hii imeninyima raha sana [emoji16][emoji16][emoji16]
 
Back
Top Bottom