moudgulf
JF-Expert Member
- Jan 23, 2017
- 159,165
- 777,891
Asante sana mzee, umemuona Rodrigo muda wote anauombaHongera Mkatalunya bado kama nusu saa
Tukipige na Asno
Ata bila Mane jamaa wapo vizuri sana hasa kipindi cha pili City kapata tabu mnoMmh hata sikuangalia live. Liver bila mane duh
#handsomehaangaliwialivyochemkabana
![]()
Tundu Lissu: Mwalimu Nyerere hawezi kufanana na Magufuli
MAGUFULI NA NYERERE: ULINGANISHO NA UTOFAUTISHO Tundu AM Lissu, MB Wiki iliyopita nilisikiliza mjadala mkali wa radio kwenye Idhaa ya Kiswahili ya Sauti ya Ujerumani, kati ya makada watatu wa CCM, Bollen Ngetti, Cyprian Musiba na Simon Magoiga. Mjadala huo ulihusu mgogoro wa kisiasa...www.jamiiforums.com
Pole sana! Na karibu tenaNimekosekana hapa kwa masaa 23 yaliyopata
Nimekosekana hapa kwa masaa 23 yaliyopata
Ujumbe mzuri wa historia ya nchi yetu bro.![]()
Tundu Lissu: Mwl. Nyerere alizoea kuishi kwa uongo na udanganyifu
Katika mwendelezo wa kupinga mawazo na mfumo wa utawala wa Mwl. Nyerere. Tundu Lissu amepasua jipu ambalo wengi huwa wanaogopa kulipasua pale aliposema kuwa Mwl. Nyerere alikuwa ni "msanii wa kisiasa" kwa sababu aliyokuwa anayasema siyo yale aliyokuwa anayatenda kuhusiana na suala la Muungano...www.jamiiforums.com
Mianasiasa [emoji36][emoji36][emoji36]
Siko poa naumwa ata kuandika naona tabu, wacha nitumie lugha ya picha tuSijapata hata[emoji41]