Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

IMG_3109.JPG
 
Demokrasia haina sura moja poti...huoni Wamarekani wanavyohangaika kueneza ya kwao huko Iraq na Afghanistan? Wamarekani wenyewe unafikiri wana demokrasia - hasa kipindi hiki cha huyu ngosha?

Poti, hakuna nchi yenye Demokrasia hapa duniani. Si Marekani wala huko kwingineko. Hawa Wamarekani wakikulengeshea Demokrasia yao basi ujue kuna kitu wanakinyatia huko, si unaona jamaa alivyomkomalia Maduro kule Venezuela, ile kitu ile chini ya ardhi ambayo inasemekana ni ya daraja la kwanza inatafutwa Kwa udi na uvumba!
 
Back
Top Bottom