Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Ndege hiyo iliotengenezwa mnamo mwezi Juni, ilisafiri katika mataifa tofauti ikiwemo, Misri, Namibia, Ethiopia na Zanzibar.
Wanafunzi hao walikuwa wakitoa mihadhara kwa wanafunzi wenzao kwenye kila nchi waliyosimama.
Ndege nyengine aina ya Sling 4, ilikuwa ikiandama nao na kuendeshwa na marubani wenye uzoefu ili kutoa msaada pale unapohitajika.
 
Ubuyuuuu....na madhara yake...
c1eb37dd799d056a157899b55b08dd56.jpeg
 
Baba wa Megan, Bwana Des Werner ambaye ni rubani mwandamizi alikuwa ni sehemu ya timu ya msaada.
Wanafunzi hao waliitengeneza ndege hiyo kwa wiki tatu kwa kuunganisha vifaa vilivyotengenezwa na kampuni moja nchini humo. Uundaji huo ulihusisha kuunganisha maelfu ya vifaa vidogo vidogo.
 
Wanafunzi hao walikataliwa na mamlaka za Kenya kutua jijini Nairobi na ikabidi wabadili njia.
Katika mji mkuu wa Ethiopia, Addis Ababa, walichelewa kupata mafuta.
"Baada ya kuyapata, ndege ya pili ya msaada ikaanza kuvujisha mafuta na ikashindwa kuendelea na safari nasi na ikabaki marubani wawili tu mimi na Driaan van den Heever kuendelea na safari," ameeleza Megan.
 
Tulikuwa na mashaka juu ya kupaa katika anga la Sudani kutokana machafuko ya kisiasa yanayoendelea."
Marubani hao sita wanafunzi walikuwa wakipokezana kurusha ndege hiyo.
Hata hivyo, aina ya leseni waliyopata ambayo ni daraja la kwanza pia ikawa kikwazo. Walitakiwa kutopaa juu sana na kufikia usawa wa mawingu.
 
Marubani hao wawili wanafunzi walipatwa na tatizo katika mifumo ya ndege hiyo muda mfupi baada ya kuingia kwenye anga ya Misri.
Hivyo wakafanya maamuzi ya kutua kwenye uwanja wa karibu zaidi badala ya ule wa Kimataifa wa Cairo kama ilivyokuwa imepangwa awali.
 
Halai hiyo ilizua tafrani kidogo, lakini maamuzi yalifanyika kwa sababu za kiusalama," ameeleza Des Werner.
"Mwishowe tukagundua kuwa ilikuwa nyanya moja tu imecheza na wakairekebisha mara moja, lakini kukawa na urasimu mkubwa ambao ulichukua muda mrefu na kutakiwa na mamlaka waandike ripoti."
 
Tulipotua Misri kwa dharura katika eneo la kwanza maafisa walitaka kutukamata, kutupokonya hati zetu za kusafiria na leseni lakini kwa bahati nzuri baada ya saa kama nne kila kitu kikawa sawa tukapata mafuta ya ziada ya kutufikisha Aswan, na kutoka hapo tukapaa mpaka hapa Cairo, lilikuwa ni jambo la furaha sana kutua Cairo," ameeleza Megan.
 
Halafu unakuta watu kama hawa wana preach Democracy kwa nchi zingine. Politics over my dead body!
Demokrasia haina sura moja poti...huoni Wamarekani wanavyohangaika kueneza ya kwao huko Iraq na Afghanistan? Wamarekani wenyewe unafikiri wana demokrasia - hasa kipindi hiki cha huyu ngosha?
 
Back
Top Bottom