Haifungiki
JF-Expert Member
- Jun 26, 2018
- 3,156
- 14,847
π Ni WANAUME Anaitika hiyo.Wamlambez ndio watu gani hivi
Sijaelewa nifafanulie zaidi[emoji1] Ni WANAUME Anaitika hiyo.
Wamyonyezi na wamlambezi ni team mbili tofauti moja ni ya kunyonya na ingine ni ya kulamba LoloBora umeuliza maana nami nimetoka kappa.
Wamlambezi ni team ya kulamba Lolo Na Wamyonyezi ni team ya kunyonya kunyonya.Sijaelewa nifafanulie zaidi
Hahaha π πNa mimi nijiandae kuitwa bibi. Ila maneno gani haya unayaongea mbele ya mamdogo aisee[emoji3]
Ndiyo masaa yangu mkuu.Haifungiki naona unatokea usiku tu
Wamyonyezi na wamlambezi ni team mbili tofauti moja ni ya kunyonya na ingine ni ya kulamba Lolo
Wamlambezi ni team ya kulamba Lolo Na Wamyonyezi ni team ya kunyonya kunyonya.
The damage is already done tena globally. Nationalistic politics sasa zimetawala dunia nzima na chuki dhidi ya wahamiaji ni kila kona. Marekani kwenyewe kajaza majaji wenye mrengo wake katika mahakama zote kuu; na akipata miaka mingine minne naamini ataweka jaji mwingine mmoja au wawili mahakama kuu (supreme court). Ginsburg ni mzee sana na afya yake siyo nzuri sidhani kama atamaliza miaka mingine minne akiwa kazini bila kustaafu. Akiongeza jaji mwingine tu mhafidhina basi kwisha kazi.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] FAKE NEWS wakimuondoa 2020 nitafurahia sana. Huzuni niliyoipata siku ile acha kabisa. Sikutegemea kabisa FAKE NEWS aibuke kidedea ile back and forth ya Florida ikaanza kunitia wasiwasi. Hatimaye ikaenda kwa DT na haikurudi tena kwa HC. Nilikaa hadi usiku wa manane nikiwa siamini yaliyotokea huku nikiomba miujiza itokee.
Nilijua jamaa ni BOMU but not to this EXTENT. The worst scenario not only for USA but the whole World. Imagine if he stays in WH for another 4 years [emoji22][emoji22][emoji22]
Jamaica kuna vituko [emoji16][emoji16][emoji16]Twende sasa...View attachment 1172548
Jamaica kuna vituko [emoji16][emoji16][emoji16]