Khantwe
JF-Expert Member
- Dec 20, 2012
- 62,068
- 127,679
Wamlambez ndio watu gani hivi
Wamlambez ndio watu gani hivi
Hapo mwisho sijakuelewa, hupendi siasa hata chembe? Mmmhh
Aisee sawa nimekubali kwa shingo upandeNaam Khantwe mimi na siasa mbali mbali ila nachukia sana maovu mbali mbali yanayoendelea nchini hivyo nashindwa kukaa kimya. Maccm wakati huo bado niko shule yalinifuata kutaka niingie uvccm nilitafakari kwa kina lakini sikuafiki nikaomba ushauri wa wazazi kabla sijawajibu maana mtu aliyeniomba kufanya hivyo nilikuwa namheshimu sana na hata wazazi pia walimheshimu sana. Wazazi wakanambia ni opportunity nzuri sana lakini ni juu yangu kufanya maamuzi hivyo nikarudi kwa mhusika kwanza kumshukuru na pia kumwambia kistaarabu kwamba nafasi yangu hainiruhusu kujiunga kule labda baadaye. Kwa hali ya kisiasa inavyoendelea nchini sasa hivi na miaka michache iliyopita namshukuru sana Mwenyezi Mungu sikujiunga nao.
23:0319:59
Vumilia uwe unaangalia, vita zao huwaga zinanisismua sana
Alone
Aisee sawa nimekubali kwa shingo upande
Wamlambez ndio watu gani hivi
Sawa BAK Mungu akutie nguvuSawa labda iko siko utakubali kwa shingo ikiwa sawa 🙂. Nayachukia sana maovu ambayo yanairudisha nyuma nchi yetu. Sasa kila Mtanzania akiamua kunyamaza si tutachekwa na vizazi vyetu vijavyo? hawa Watanzania maovu yote haya kwanini walikuwa kimya kabisa? Naamini kama tungekuwa na viongozi wazuri si wezi wala mafisadi baada ya miaka 58 ya Uhuru tungekuwa juu ya South Korea, Malaysia na Singapore kiuchumi lakini hawa wametuacha mbali sana na cha kushangaza inadaiwa kwenye miaka ya 60 tulikuwa kundi moja kiuchumi, na hawa hawana utajiri wa mali asili kama ambao sisi tunao.
Hata wewe huwajuiBora umeuliza maana nami nimetoka kappa.
Hata wewe huwajui
Hahaha eti nondo loh mimi huyuhuyu?Amen atutie nguvu sote, nimeshakuona siasani ukishusha nondo za uhakika lakini hupendi kushiriki kule mara kwa mara.