BAK
JF-Expert Member
- Feb 11, 2007
- 124,767
- 288,340
Dunia imetoka mbali, siku hizi simu tunatembea nazo popote pale ukilinganisha na mwaka 47.
Mimi sina nondo yoyote bwana
Haha sawaHahahahaha lol! si nondo ya kujengea banaa hahahahahaha
Ni kweli aisee zinasisimua sana ila nakosa amani kuziangalia nikawa naisogeza sogeza 🙂🙂 labda kuna mahali nitaweza kuangalia kuja kustuka imeisha LOL! nikaachana nayo. Fisi, nyoka na mamba siwapendi hata chembe Mkuu.
Ijumaa imeenda vizuri bro.Tunaanza wkend sasa.Huku gado tu, vipi ijumaa yako?
Hivi ni vinini kwane huwa unapost?Hmmmm! How do you do that 350 million trees in 24 hours or 14,583,333 trees in one hour? I doubt it.
![]()
Kiwanja gani upo bro?Ijumaa imeenda vizuri bro.Tunaanza wkend sasa.
Kiwanja gani upo bro?
Hahah!Mimi nipo hapa "Uzi wa like" bro.
#ViwanjaNiKwaWakatalunya
#NilionaMnaulizanaRamaniZaViwanja
#KwambaNdioMaanaKumetuliaHiviHahah!
#kumbeuliona
#wenginewanapigamechizakimataifaleo