BAK
JF-Expert Member
- Feb 11, 2007
- 124,767
- 288,340
Nilijaribu kuangalia siku moja ugomvi wa chatu na mamba kule utube ikanishinda aisee. Katika wadudu nisiowapenda duniani hawa nao wamo.
[emoji106][emoji106][emoji106][emoji106] [emoji106]
G.night EverybodyView attachment 1170746
Hapo mwisho sijakuelewa, hupendi siasa hata chembe? MmmhhVery true kuna mdada mmoja humu jina kapuni. Misimamo yetu kwenye lile jukwaaumiza kichwa inashabihiana sana. Mwisho tukaanza kuchat kule pm. Akanambia jinsi ambavyo ofisini kwake jina kapuni ninavyopendwa na colleagues wake wengi kuhusu michango yangu kule siasani na mdada mmoja yeye anakusanya nyimbo zote humu zinazowekwa na BAK, nilishangaa sana kusema kweli. Akaendelea kuniambia kama siku nikifika ofisini kwake halafu awaambie colleagues BAK yuko hapa alidai kazi siku hazifanyika hata chembe. Mie kule siasani natetea tu maslahi ya nchi yetu na uhuru na haki ya Watanzania kumchagua mtu tunayemtaka kuongoza nchi yetu awe wa Chadema, ccm or ACT na siasa wala siipendi hata chembe, kama naye atavurunda basi uchaguzi mwingine ataondolewa kwa nguvu ya kura. Kumbe kwa kuyasimamia hayo kuna wengine unawagusa kupitiliza.
2230
Nilijaribu kuangalia siku moja ugomvi wa chatu na mamba kule utube ikanishinda aisee. Katika wadudu nisiowapenda duniani hawa nao wamo.