Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
Haha bro,na hapo kuna makundi ya watu yamemiss[emoji16][emoji16][emoji16]
View attachment 1173082
kikubwa nitamwambia leo nenda zako bibie nipo kwenye swaumu el chatto.Mtu zali linakuangukia unamkamata Riri jasti fo wani naiti dah
Sijaona ndugu...Haha bro,na hapo kuna makundi ya watu yamemiss
Ukijisikia kucheka wewe ingia tu humu😂😂😂😂Nyie watu mnachekesha sana
Sio mbaya sana bro, vipi pande hizo?Hope unaendelea vyema bro?
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]kikubwa nitamwambia leo nenda zako bibie nipo kwenye swaumu el chatto.
kwani ya kwake ina DSTV ndani?
Aisee,,kazi kweli kweliSijaona ndugu...
Fungu la 10....
Mbunye.....
.....na mengineyo mengi....
Huku salama bro..Sio mbaya sana bro, vipi pande hizo?
Inabidi pia apumzike yale mambo wakati huu mpaka misuli ikae sawa ohoo [emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099]Huku salama bro..
Utapona bro na utarudi kwenye hali yako ya kawaida,Mungu akusimamie.
Kuna mboga zingine kula pamoja na ugali ni kulazimisha tu!!
Siwezi kusoma hapa kugonga likes tu inabidi simu niiweke juu mawinguniUmeweza kusoma yote na hayo mafua kweli? [emoji16][emoji16][emoji16]
Unaendeleaje?
HahahInabidi pia apumzike yale mambo wakati huu mpaka misuli ikae sawa ohoo [emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099]
Nisidanganye. Kusema kweli kusoma yote hiyo hapa siwezi. Nielekeze kama kuna sehemu umezianzishia thread ili nikazisome huko kwa utulivu nikipata muda.wavivu wa kusoma utawajua tu [emoji3][emoji3]
Pamoja sana bro, msalimie SarahHuku salama bro..
Utapona bro na utarudi kwenye hali yako ya kawaida,Mungu akusimamie.
Hahah!Inabidi pia apumzike yale mambo wakati huu mpaka misuli ikae sawa ohoo [emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099]