Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Msanii Ziggy Wine wa Uganda, Auawa Kikatili... Mwanamuziki wa nchini Uganda, Ziggy Wine ambaye alikuwa chini ya usimamizi wa ‘Lebo’ ya mwanamuziki/mwanasiasa Bobi Wine amefariki dunia usiku wa jumapili tarehe 4, Augusti 2019. Ziggy Wine ambaye jina lake halisi ni Michael Kalinda amefariki baada ya kutekwa tarehe 21 July na kupigwa vibaya alipokuwa njiani akielekea studio za Firebase Crew, inaelezwa kuwa baada ya watekaji kukamilisha unyama huo walimtupa pembezoni mwa hospitali ya Mulago iliyopo Jijini Kampala ambapo alikutwa akiwa amejeruhiwa vibaya huku jicho lake la kushoto likiwa limetobolewa, vidole vyake vya mkononi vikiwa vimekatwa.
Aisee,,inasikitisha sana
 
Image may contain: one or more people, people standing and outdoor
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]king

#sipatipichapamojanaushindi
#usikuhaukuufaidi

Pole kwa mafua. Shuain zake man city na barca
Hahah!

#Usikusikufaidinini
#UmeonaArsenalwalivyooneshwahawawezimpira

Asante sana binti mpole
 
Back
Top Bottom