Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
Ni kawaida katika uzi wetu huu. Majukumu yakikuzidi unapotea halafu yakipungua unarudi. Naamini ni mzima na atarudi tu...Mie sijamuona tangu nirudi kifungoni. I hope she is okay and taking care of important stuff in our daily lives.