Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Siwezi kusoma hapa kugonga likes tu inabidi simu niiweke juu mawinguni

Nafuu ipo bro, vipi pande yako?
Huku kwema bro...

Umeona hapo juu nimekuchokoza kuwa inabidi upumzike yale mambo ili upone haraka lakini naona Ninge anakutetea kwa nguvu zote. Vere sapuraizingi wallahi [emoji16][emoji16][emoji16]

Upone haraka bro
 
Huku kwema bro...

Umeona hapo juu nimekuchokoza kuwa inabidi upumzike yale mambo ili upone haraka lakini naona Ninge anakutetea kwa nguvu zote. Vere sapuraizingi wallahi [emoji16][emoji16][emoji16]

Upone haraka bro
Nimeona mzee mwenzangu kaamua kunisitiri bhana

Asante sana bro tupo pamoja
 
Huku kwema bro...

Umeona hapo juu nimekuchokoza kuwa inabidi upumzike yale mambo ili upone haraka lakini naona Ninge anakutetea kwa nguvu zote. Vere sapuraizingi wallahi [emoji16][emoji16][emoji16]

Upone haraka bro
Hahaha ukiona nafanya hivyo,ujue kuna sehemu nimelenga,ntahitaji utetez wake pia haha
 
kikubwa nitamwambia leo nenda zako bibie nipo kwenye swaumu el chatto.
kwani ya kwake ina DSTV ndani?

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]king

#sipatipichapamojanaushindi
#usikuhaukuufaidi

Pole kwa mafua. Shuain zake man city na barca
 
Msanii Ziggy Wine wa Uganda, Auawa Kikatili... Mwanamuziki wa nchini Uganda, Ziggy Wine ambaye alikuwa chini ya usimamizi wa ‘Lebo’ ya mwanamuziki/mwanasiasa Bobi Wine amefariki dunia usiku wa jumapili tarehe 4, Augusti 2019. Ziggy Wine ambaye jina lake halisi ni Michael Kalinda amefariki baada ya kutekwa tarehe 21 July na kupigwa vibaya alipokuwa njiani akielekea studio za Firebase Crew, inaelezwa kuwa baada ya watekaji kukamilisha unyama huo walimtupa pembezoni mwa hospitali ya Mulago iliyopo Jijini Kampala ambapo alikutwa akiwa amejeruhiwa vibaya huku jicho lake la kushoto likiwa limetobolewa, vidole vyake vya mkononi vikiwa vimekatwa.
 
Msanii wa muziki kutoka Nigeria, Tekno amewaomba msamaha mashabiki wake, Baada ya picha na video chafu kuvuja mtandaoni zikimuonesha akiwa kwenye gari akicheza na wanawake waliovaa nguo nusu uchi huku akiwatomasa tomasa. Tekno amesema kuwa video hiyo ni yake na hakufanya makusudi bali alikuwa ana-shoot video ya wimbo wake mpya. ------------------------------------------------------------------------------------ "Kwanza hakukuwa na sababu ya sisi kucheza mtaani. Tulikuwa tuna-shoot video yangu ya muziki, Na kulitokea tatizo la usafiri ndio maana tukaingia kwenye gari moja na wale wanawake. Ilikuwa majira ya Saa 6 usiku na tulikuwa tunacheza kama burudani tu, Sikuwa na lengo baya,” ameandika Tekno na kuomba radhi. --------------------------------------------------------------------------------------- "Nawaomba mnisamehe, Kama kuna mtu amejisikia vibaya baada ya kuona video ile”. . Video hiyo imelaumiwa na watu wengi nchini Nigeria, Wengi wao wakidai kuwa amewadhalilisha wanawake na wakitaka sheria ichukue mkondo wake. Kwa mujibu wa sheria ya mwaka 2015 kifungu cha 135 (a) nchini Nigeria, Ni kosa la jinai kumtomasa mwanamke hadharani.
 
Watu na pesa zao ! Kylie Jenner ameripotiwa kukodi boti ya kisasa Kwa £1 million Kwa wiki sawa na zaidi ya billion 2.7 za Kibongo Ili kusherehekea birthday yake kutimiza miaka 22 jumamosi hii . . Yatch hiyo thamani yake ni U$225 zaidi ya billion 517 za Kitanzania. Ina vyumba 22 vya kisasa vya wageni wageni vikiwemo master suite, 3 VIP staterooms, gym, ukumbi wa cinema, salon ya urembo, spa, bar ya nje, deck-pool, crew ya wahudumu 29 wenye nguvu zao na eneo maalum la kukaa/kutua helicopter . . Kylie atatumbua maisha Kwenye boat hiyo na familia yake pamoja na watu wake wa karibu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…