Bradha
JF-Expert Member
- Dec 18, 2017
- 8,784
- 45,268
Huyu bwana mwanzoni walisema hawajamkamata, baadae wakasema wanachunguza uraia wake, sasa hivi case ndio hii.Itakua wameridhika na uraia wake.Anapotezwa mtu kirahisi sana..ina mana jamaa hizo hela kabeba kwenye serikali ya jiwe? Jiwe bado hawez ziba mianya, ishu itasukwa vizuri na itasukika na ataachiliwa!
Sio kweli hii!!
Haya bro.
Yeye huyo huyo Mkuu. Inawezekana