Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 348,970
- 1,252,247
Hahah! Basi nimekuelewa tena magoli yenyewe yawe both team to score 😁U
Utamu wa mechi magoli bana hata wagumu wanafahamu hili aah wee king bana bila magoli utakuwaje bora na bingwa
Aisee wanyama bado wanapewa elimu ya kutuelewa na kuwa bora zaidi mbugani
MmmhHahah! Basi nimekuelewa tena magoli yenyewe yawe both team to score 😁
Heee kumbe mada imehamaMmh!
#KwanitunazungumziampiraAumechi
Poti marahabaaa. Uwe na usiku mchana asubuh njema
Heee kumbe mada imehama
#ndomaanakiunohakitulii
#mpiranamechikitukimojabana alisikika poti akilalamika hahhah