Davet
JF-Expert Member
- Apr 5, 2013
- 42,474
- 206,022
Mida mida nimesikia harufu ya perfume yake humuHuyu wakishua yupo kweli
#msalimiesanaukimuona
Mida mida nimesikia harufu ya perfume yake humuHuyu wakishua yupo kweli
#msalimiesanaukimuona
Heheh!Wenyewe mnaita
GG
#mkatalunyaunatuwakilishavyema
Habari njema hizi,Bro nipo poa sasa
Namshukuru sana The Happy 😁
Kwako pia broHabari njema hizi,
Uwe na siku njema.
Nipo cole, wajionaje na hali?.Huyu wakishua yupo kweli
#msalimiesanaukimuona
Fresh sana aiseeMambo poa kabisa,..Mambo!
Karibu uji [emoji28]
Hahah, hahahaFresh sana aisee
Uji wenu washua mimi nitauweza kweli nasikia mnachanganyaga nafaka nyingi mno ili mpate afya
Hahah! Aya nakuja kwenye uji 🏃♂️ 🏃♂️Hahah, hahaha
Huu utauweza tu, hauna mambo mengi
#Ujiwamahinditu[emoji13]
Hahahah, J4 inasemaje lakini.!Hahah! Aya nakuja kwenye uji [emoji2089] [emoji2089]
#HapaAsioneBintimpolewalaSYB
Huu uji mbona mnaalikana kwa kujuana aisee 😀😀😀Hahah! Aya nakuja kwenye uji 🏃♂️ 🏃♂️
#HapaAsioneBintimpolewalaSYB
Nipo cole, wajionaje na hali?.