Davet
JF-Expert Member
- Apr 5, 2013
- 42,474
- 206,022
Mida mida nimesikia harufu ya perfume yake humuHuyu wakishua yupo kweli
#msalimiesanaukimuona
Heheh!Wenyewe mnaita
GG
#mkatalunyaunatuwakilishavyema
Habari njema hizi,Bro nipo poa sasa
Namshukuru sana The Happy π
Kwako pia broHabari njema hizi,
Uwe na siku njema.
Nipo cole, wajionaje na hali?.Huyu wakishua yupo kweli
#msalimiesanaukimuona
Fresh sana aiseeMambo poa kabisa,..Mambo!
Karibu uji [emoji28]
Hahah, hahahaFresh sana aisee
Uji wenu washua mimi nitauweza kweli nasikia mnachanganyaga nafaka nyingi mno ili mpate afya
Hahah! Aya nakuja kwenye uji πββοΈ πββοΈHahah, hahaha
Huu utauweza tu, hauna mambo mengi
#Ujiwamahinditu[emoji13]
Hahahah, J4 inasemaje lakini.!Hahah! Aya nakuja kwenye uji [emoji2089] [emoji2089]
#HapaAsioneBintimpolewalaSYB
Huu uji mbona mnaalikana kwa kujuana aisee πππHahah! Aya nakuja kwenye uji πββοΈ πββοΈ
#HapaAsioneBintimpolewalaSYB
Nipo cole, wajionaje na hali?.