Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Wahenga walisema tenda wema nenda zako usisubiri shukrani!!

Mwaka 2017,Selena Gomez figo zake zilillipotiwa kuferi hali iliyopelekea rafiki yake wa karbu Francia kuokoa uhai wake....

Juzi mtandao wa RadarOnline umelipoti kuwa marafiki hao sasa hivi hawaivi tena kama hapo nyuma,ishu kubwa ikiwa Fransia hapendi kuona Selena Gomez akitumia pombe(wine) ili hali hali yake akiifahamu kabsa...unaambiwa ishu hyo imepelekea Selena kumuona Fransia kama anamfatilia vile..(source,radaronline)
 
Mmmh aiseee selena ajihurumie kama kweli kaanza kunywa pombe kwa hali aliyonayo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…