Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

435805618_281973.jpeg
 
Wahenga walisema tenda wema nenda zako usisubiri shukrani!!

Mwaka 2017,Selena Gomez figo zake zilillipotiwa kuferi hali iliyopelekea rafiki yake wa karbu Francia kuokoa uhai wake....

Juzi mtandao wa RadarOnline umelipoti kuwa marafiki hao sasa hivi hawaivi tena kama hapo nyuma,ishu kubwa ikiwa Fransia hapendi kuona Selena Gomez akitumia pombe(wine) ili hali hali yake akiifahamu kabsa...unaambiwa ishu hyo imepelekea Selena kumuona Fransia kama anamfatilia vile..(source,radaronline)View attachment 1173923View attachment 1173935
Aisee, vile waasemaga "upendo ukizidi unageuka kuwa usumbufu" ndo hii sasa, pamoja na kumjali kote huko bado selena anaona rafiki mmbaya
 
Wale vegetarian wanapata virutubisho muhimu kwenye miili yao. Wananufaisha na kuboresha afya kwa ujumla.
Urembo ni pamoja na kula Kwa afya kwa kufanya hivyo utapata ngozi yenye afya, nywele pamoja afya ya mwili kwa ujumla.
Kama bado hujaanza kula Broccoli Anza Sasa!
 
Back
Top Bottom