Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Black Castor oil ni mafuta ya mnyonyo tofauti ya mafuta ya mnyonyo,tofauti ya mafuta haya na mengine ya mnyonyo ni kwamba Black Castor Oil yanatengenezwa kiasili bila kuondolewa au kuongezwa vitu katika uhalisia wake, wakati mafuta ya mnyonyo mengine hupitia viwandani kutengenezwa na kuongezwa vitu vingine vingi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…