Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Kama ambavyo tunakua kitu kinachopia katika kiwanda mara nyingi hupunguzwa ubora wake kwa kemikali ambazo huongezewa katika kitu hiko, lakini vile ambavyo hutengenezwa kiasili na kuachwa na asili yake huwa na ubora waasili ambao unamatokeo mazuri zaidi.
 
ricinoleic acid
Asidi hii iliyopo katika black castor oil husawazisha pH ya ngozi yako na ina antibacterial, antifungal, na anti-anti-inflammatory. Hii husaidia kuondoa maambukizi ya ngozi, bakteria, na mba uliopo kwenye ngozi ya kichwa kuondoka
 
antioxidants
Hii husaidia keratin kwenye nywele zako. Hii hufanya nywele zako kuwa na nguvu, muundo zaidi, laini, na kutokakamaa. huimarisha Mizizi ya nywele pia inapunguza upotezaji wa nywele, na kuifanya JBCO kuwa tiba nzuri kwa alopecia.
 
Omega-6 and Omega-9 fatty acids
Husaidia kuipa nywele yako unyevu

Mafuta haya ya mnyonyo yana faida mbalimbali lakini wengi tunajua faida za katika nywele ambapo hukuza nywele, ku repair damaged hair na hata kujaza nywele lakini je wajua unaweza kutumia kwenye ngozi pia? Yes unaweza kutumia mafuta haya kwenye ngozi nakukuletea matokeo mazuri kwa sababu yana vitamin E abayo ni nzuri kwenye ngozi.
 
Kusaidia kuondoa mikunjo ya uzee
Nani anataka kuzeeka mapema? Sote tunataka kuwa vijana well kama una mikunjo au hutaki kabisa kuona usoni mwako hata kabla hujaanza kuiona unaweza kutumia black castor oil,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…