Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Rooney alikuwa akivutiwa na mbinu za ufundishaji soka za kocha Louis van Gaal walipokuwa pamoja Manchester United, na ameshawishika kwamba kocha wa sasa wa Derby, Philip Cocu, ana staili sawa ya ufundishaji na Van Gaal.
 
BEKI Laurent Koscielny yuko nchini Ufaransa kwa ajili ya kufanyiwa vipimo vya afya klabuni Bordeaux, huku dili lake la uhamisho la Euro 5 milioni likikaribia kukamilika, wakati pia Carl Jenkinson akikaribia kuondoka Arsenal.

Vyanzo vilivyo karibu na klabu hiyo ya London kaskazini vimebainisha kuwa beki wa kati huyo mzoefu anajiandaa kutimiziwa ombi lake la kutaka kurejea katika ardhi ya nyumbani kwao.
 
Koscielny, 33, ambaye amebakisha mwaka mmoja katika mkataba wake Emirates Stadium, hakuficha kuhusu dhamira yake ya kurejea nyumbani kwao katika dirisha hili la uhamisho baada ya kuitumikia Arsenal kwa miaka tisa.

Kuondoka kwake kunazidi kupunguza idadi ya walinzi Arsenal, ambako Shkodran Mustafi amekuwa akikosolewa sana kutokana na kufanya makosa mengi yanayogharimu timu.
 
Tierney, ambaye anatabiriwa kufanya makubwa, ni mshindi wa tuzo ya Mchezaji Bora Kijana wa Mwaka wa Chama cha Wachezaji wa Kulipwa (PFA) Scotland na anacheza nafasi kibao uwanjani akiwa ameshaichezea timu ya taifa ya Scotland kama beki wa kushoto, beki wa kati, winga wa kushoto na beki wa kulia.
 
BEKI Laurent Koscielny yuko nchini Ufaransa kwa ajili ya kufanyiwa vipimo vya afya klabuni Bordeaux, huku dili lake la uhamisho la Euro 5 milioni likikaribia kukamilika, wakati pia Carl Jenkinson akikaribia kuondoka Arsenal.

Vyanzo vilivyo karibu na klabu hiyo ya London kaskazini vimebainisha kuwa beki wa kati huyo mzoefu anajiandaa kutimiziwa ombi lake la kutaka kurejea katika ardhi ya nyumbani kwao.
Duh! mkongwe aliekua amebaki
 
Back
Top Bottom