Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 348,970
- 1,252,247
Aisee...SI unaijua ile staili ya kushangilia la Cristiano Ronaldo? Sasa je unajua ilianzia wapi? Straika huyo amefunguka kwamba aliianzisha kwa mara ya kwanza baada ya kuwatungua bao Chelsea.
Duh! mkongwe aliekua amebakiBEKI Laurent Koscielny yuko nchini Ufaransa kwa ajili ya kufanyiwa vipimo vya afya klabuni Bordeaux, huku dili lake la uhamisho la Euro 5 milioni likikaribia kukamilika, wakati pia Carl Jenkinson akikaribia kuondoka Arsenal.
Vyanzo vilivyo karibu na klabu hiyo ya London kaskazini vimebainisha kuwa beki wa kati huyo mzoefu anajiandaa kutimiziwa ombi lake la kutaka kurejea katika ardhi ya nyumbani kwao.