Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
Gud umeona tatizo. Anti barca wengi huwa wanamkubali messi kwa kipaji chake ila anatia doa kwenye ubaguzi na kuingilia majukumu ya kocha. Neymar aliondoka sababu ya Messi ila naona kasahau anataka kurudi tenaSijapenda kabisa vile Messi anamfanyia mwenzake yani jamaa ataishi kwa tabu pale Katalunya labda hali ibadilike hapo baadae
#KingMessihuwambaguzisana
Shwain zakeGud umeona tatizo. Anti barca wengi huwa wanamkubali messi kwa kipaji chake ila anatia doa kwenye ubaguzi na kuingilia majukumu ya kocha. Neymar aliondoka sababu ya Messi ila naona kasahau anataka kurudi tena
#kinganatishwanakipajichajamaa