Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 348,970
- 1,252,247
Vilabu hivyo vinafanya kila juhudi kuhakikisha Barcelona haimsajili tena mchezaji wao wa zamani. (Sport)
Tukisema sie tunaonekana haters. Griezman hatapata ushirikiano mkubwa paleMpango ndio huo Mkatalunya...
Hivi mzee unaonaje issue ya Messi kuwakunjia wenzake pale kambini? Nimeona jana clip flani hivi anavyomkazia Griezmann ata mkono kumpa hataki
Sio techno mkuu lakini hii ni Huawei y5 ya 2018.Unauza nini?
Kama ni TECNO sema tufanye biashara [emoji16][emoji16]
Sijapenda kabisa vile Messi anamfanyia mwenzake yani jamaa ataishi kwa tabu pale Katalunya labda hali ibadilike hapo baadaeTukisema sie tunaonekana haters. Griezman hatapata ushirikiano mkubwa pale