Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Namna ya kufanya

loweka tunda za ukwaju katika maji ya moto kwa dakika kumi
toa mbegu na ubaki na juice nzito ya ukwaju
ongeza manjano katika juice hio ya ukwaju\
paka mchanganyiko wako katika uso wako na uache kwa dakika 15
osha kwa maji ya vuguvugu
 
IMG_20190729_015726.jpg
 
Parachichi lina sifika kwa kuwa na Vitamins nyingi, antioxidants, na fatty acids ambazo zina weza kuipa ngozi yako unyevu nyevu (moisturize) pia ina Vitamin A ambayo ina weza kusidia ngozi yako kuji restore na kuiacha soft na laini.
 
Unacho hitaji ni kuwa kukata parachichi katika bakuli kisha saga mpaka pale utakapo pata ujiuji/juice nzito ya parachichi kisha paka usoni mwako na kaa nayo kwa muda wa dakika kumi na tano (15 mins), kama utapenda una weza kuongezea vijiko viwili vya asali katika mchanganyiko wako ili kupata matokeo bora zaidi.
 
Mafuta ya nazi pia yana sifika kwa kuwa na Fatty acids ambazo husaidia kuipa ngozi unyevu nyevu pia nzuri katika kutibu ngozi kavu mwilini, pasha mafuta yako yawe ya uvugu vugu paka kwenye ngozi kaa nayo usiku mzima ( paka na ulale nayo), pia ni mazuri kupaka hata baada yakutoka kuoga na ukakaa nayo siku nzima.
 
Mtindi ni chanzo kizuri cha protein kwa ajili ya kutibu ngozi kavu, pia ina vitamin B12, vitamin B2, magnesium na potassium ambazo ni virutubisho muhimu kwa ajili ya afya ya ngozi, paka mtindi wako ambao hauna flavor (yaani usije kununua mtindi wenye radha eg vanilla, strawberries etc) paka ule mtindi fresh usio na chochote paka kwenye maeneo yaliyo makavu halafu uache kwa dakika 10 (10 mins) na utahisi kuwashwa na kupata unyevu nyevu baada ya kutoa utapata ngozi nyororo na isiyo kavu.
 
Back
Top Bottom