Afya ya viungo. Tango husaidia kupunguza tatizo la ugonjwa wa viungo *gout* na ugonjwa wa baridi yabisi Arthritis. Tango ni moja kati ya matunda yenye kiwango cha juu cha silica ambayo pia kusaidia kuimarisha afya ya viungo mwilini. Vitamin A, B1, B6, C & D, Folate, Calcium, Magnesium na potassium hufanya tango linapochanganywa na juice ya karoti huweza kutibu gout pamoja na Arthritis.