Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Pamoja na hili,technolojia huvumbuliwa kila siku kukabiliana na changamoto mbalimbali,kwani kwa sasa kuna baadhi ya ndege ambazo huruhusu huduma za wifi ndani ya ndege ,na hii ni kutokana na vifaa maalumu ambavyo hufungwa kwenye ndege ili kuepusha mwingiliano kati ya mawasiliano ya ndege na vifaa vingine vya mawasilano.
 
faida za kutumia huduma hii
Kama utaamua kuitumia huduma hii hata kama sio kwenye ndege,itakusaidia kukifanya kifaa chako kukaa na chaji kwa muda mrefu zaidi,kwani kitendo cha simu kutafuta ishara kila wakati huigharimu simu chaji nyingi sana.
 
faida za kutumia huduma hii
Kama utaamua kuitumia huduma hii hata kama sio kwenye ndege,itakusaidia kukifanya kifaa chako kukaa na chaji kwa muda mrefu zaidi,kwani kitendo cha simu kutafuta ishara kila wakati huigharimu simu chaji nyingi sana.
 
Nao liseni tu mi keafuli...Ai emu gonna paundi yo pusi
7b9135bd-7468-4b2a-b835-723620e58aba~2.jpeg
 
Jamani. Kwa nini bro?

Kama mnataka chama kirudi kwenye misingi sahihi nipeni uenyekiti chama kiwe transparent tuongeze wanachama. Haya mambo yenu ya simba mwendapole na kubebana na mizigo ya maua kila mwendako yanakiua chama [emoji16][emoji16][emoji16]

Daah asubuhi nimeona tuhuma zako kwetu nimecheka sana, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

#sisindiyosisibrowagumu
 
Aina hii ya mtandao huhusisha kushare baadhi ya data kutoka kompyuta moja kwenda nyingine ndani ,aidha ya jengo dogo au chumba.(within a single building).LAN itawezesha kompyuta zilizounganishwa kwa kutumia waya maalumu za kopa ( copper cable)twisted pair,aidha ni cat5 ,cat6 na nyinginezo.
 
Njia hii ya kutengeneza mtandao huhitaji anuani maalumu za kompyuta(ip address)ili kuleta mawasiliano sawia kwa kopyuta husika.Hapa mnaweza kushare jumbe mbalimbali,kutuma na kupokea data kutoka komputa moja kwenda nyingine nk.
 
inapotokea kuna LAN zaidi ya moja ,aidha ndani ya jengo husika au nje ya jengo hilo basi LAN hizo ni lazima ziunganishwe na kifaa hiki kiitwacho router.Inawezekana LAN moja ipo katika ofisi kama hiyo Dodoma na nyingine ipo Mwanza na wanataka kushare taarifa kupitia hizo LAN,basi router ndio hufanya kazi ya kuziunganisha hizo LAN.
Si hivyo tu,Router pia inaweza kutumika kupata huduma ya intaneti kwa LAN husika kama ikibidi ,ila kwa huduma ya intaneti itabidi ofisi husika kupata huduma hiyo kupitia kwa watoa huduma za intanet yaani internet service privider(ISP)
 
Ikumbukwe pia kuwa zoezi hili lote linahitaji kufanywa na wataalamu wenye ujuzi (network engeneers)ambao watafanya configuration kwa ajili mtandao wako ikiwemo maswala ya kiusalama wa mtandao wako nk.
Hiyo ndio router
 
Back
Top Bottom