Numbisa JF-Expert Member Joined Dec 12, 2016 Posts 348,970 Reaction score 1,252,247 Aug 8, 2019 #1,008,461 Maganda ya tunda la papai yanasaidia kutibu tatizo la kuungua, vipele na saratani ya ngozi.
Numbisa JF-Expert Member Joined Dec 12, 2016 Posts 348,970 Reaction score 1,252,247 Aug 8, 2019 #1,008,462 Mbegu zake zinatibu ini zikitafunwa 10 – 12 kwa siku 5.
Numbisa JF-Expert Member Joined Dec 12, 2016 Posts 348,970 Reaction score 1,252,247 Aug 8, 2019 #1,008,463 Majani yake yakaushie ndani, yanatibu pumu. Inapoanza kubana yachome majani yaliyokaushwa kisha jifukize, kule kubanwa kutakisha.
Majani yake yakaushie ndani, yanatibu pumu. Inapoanza kubana yachome majani yaliyokaushwa kisha jifukize, kule kubanwa kutakisha.
Numbisa JF-Expert Member Joined Dec 12, 2016 Posts 348,970 Reaction score 1,252,247 Aug 8, 2019 #1,008,464 Majani yake yanasaidia katika kutibu shinikizo la damu.
Numbisa JF-Expert Member Joined Dec 12, 2016 Posts 348,970 Reaction score 1,252,247 Aug 8, 2019 #1,008,465 Papai likimenywa na kupondwa linafaa Sana katika masuala ya urembo kwani linaweza kutumika Kama vile unavyotumia lotion kulainisha uso.
Papai likimenywa na kupondwa linafaa Sana katika masuala ya urembo kwani linaweza kutumika Kama vile unavyotumia lotion kulainisha uso.
Numbisa JF-Expert Member Joined Dec 12, 2016 Posts 348,970 Reaction score 1,252,247 Aug 8, 2019 #1,008,466 Mbegu za papai zina uwezo wa kutibu homa. Meza mbegu za papai kiasi cha kijiko cha chakula mara 3 kwa ajili ya kutibu homa.
Mbegu za papai zina uwezo wa kutibu homa. Meza mbegu za papai kiasi cha kijiko cha chakula mara 3 kwa ajili ya kutibu homa.
Haifungiki JF-Expert Member Joined Jun 26, 2018 Posts 3,156 Reaction score 14,847 Aug 8, 2019 #1,008,467 "Rumours spreading"
Davet JF-Expert Member Joined Apr 5, 2013 Posts 42,474 Reaction score 206,022 Aug 8, 2019 #1,008,469 2345
Davet JF-Expert Member Joined Apr 5, 2013 Posts 42,474 Reaction score 206,022 Aug 8, 2019 #1,008,475 Tomaso