Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Bro mi nadhani wewe na au mtu mwingine hampendezwi kuona picha za aina hiyo.
Hilo ni vema liheshimike [emoji120][emoji120]
Lakini suala la mila na maadili ya mtanzania ni pana na kwenye uzi huu maadili ya mtanzania yamekiukwa pakubwa.
Mila na desturi zinazopata heshima kwenye uzi huu ni kutoka mataifa mengine, sidhani kama uliwahi kuona kitu kama hicho bro
Zinakiuka maadili mila na desturi
 
Ni kweli bro,hilo ulilolisema hapo chini mwishoni ni ukweli mtupu na wala halina kificho bro...si kwenye uzi huu pekee nafikiri hata kwenye majukwaa mbalimbali na hata kwenye mitandao mengine ya kijamii..mila na desturi zetu zimeyumba kwa kiasi kikubwa..

Nia yangu ilikuwa kuhusu picha pekee bro[emoji120][emoji120]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…