Nigendako
JF-Expert Member
- Dec 1, 2017
- 23,296
- 122,446
[emoji16][emoji16][emoji16] bro
[emoji16][emoji16][emoji16] bro
Hahaha sawa sawa TH,acha iwe hivyoHapa inabidi tupost sana tuipoteze front page[emoji16][emoji16]
Aiseee...nilidhani utani kumbe ulihamia kabsaMan city Oyeeee[emoji2149][emoji2149]
Kuna mvua na manyunyu kidogo. Nipo tu home leo sina ishu. Najipikilisha pikilisha na kusafisha safisha hapa na pale. Ya kwako inaendeleaje?Japo leo ni jumamosi, weekend yako inakwendaje?[emoji41][emoji41]
Hapa inabidi tupost sana tuipoteze front page[emoji16][emoji16]
Kwa King hawachomoagi.....Aiseee...nilidhani utani kumbe ulihamia kabsa
Hahah bro...file tayali limefika kwa mtunza kumbukumbu
Nimekubari bro...King atabaki kuwa King[emoji119]Kwa King hawachomoagi.....
New Uzinduzi loading...Jasti weiti ende sii...Nimekubari bro...King atabaki kuwa King[emoji119]
Ni kweli bro,hilo ulilolisema hapo chini mwishoni ni ukweli mtupu na wala halina kificho bro...si kwenye uzi huu pekee nafikiri hata kwenye majukwaa mbalimbali na hata kwenye mitandao mengine ya kijamii..mila na desturi zetu zimeyumba kwa kiasi kikubwa..
Nia yangu ilikuwa kuhusu picha pekee bro[emoji120][emoji120]