Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

447809407_254026.jpeg
 
Chelsea haikufanya usajili wowote wa maana kwenye dirisha lililopita kutokana na kufungiwa na Fifa, huku ikishuhudia supastaa wake, Eden Hazard akitimkia zake Real Madrid. Kwa upande wa wenyeji wake katika mchezo huo, Kocha Ole Gunnar Solskjaer amefanya marekebisho kwenye safu yake ya ulinzi, akimsajili beki wa kati Harry Maguire na beki wa kulia Aaron Wan-Bissaka huku akimwongeza pia kwenye kikosi winga kinda, Daniel James.
 
Hali iliyotukia nchini Indonesia mwaka wa 1997 ni mfano mmoja unaoonyesha jinsi moto unavyoweza kusababisha hasara kubwa sana. Mwaka huo mioto iliteketeza vichaka nchini humo, iliharibu sana ardhi, ikadhuru afya, na kusababisha hasara ya kiuchumi. Na moshi mbaya sana wa mioto hiyo ulisambaa katika nchi jirani—jumla ya nchi nane—ukawaathiri watu wapatao milioni 75. Ripoti zinaonyesha kwamba watu milioni 20 waliugua ugonjwa wa pumu, ugonjwa wa kuvimba mapafu, magonjwa ya moyo, ya macho, na ya ngozi.
 
Katika nchi ya Singapore, uchafuzi wa hewa ulifikia kiwango cha juu sana. Jiji lilifunikwa na moshi. Mkazi mmoja aliyeogopa kutoka nje ya nyumba yake yenye hewa safi alilalamika hivi: “Sote tu wafungwa nyumbani mwetu.” Ukungu wa moshi ulikuwa mzito sana siku fulani hivi kwamba watu hawangeweza kuona miale ya jua.
 
Back
Top Bottom