Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

FB_IMG_15652144615924717.jpg
 

Attachments

  • FB_IMG_15652144615924717.jpg
    FB_IMG_15652144615924717.jpg
    17.4 KB · Views: 18
Hahah acha hizo bro...huyu pia mnataka kumuiba kama TH eeh
Kwa TH mpaka leo sijaamini. Majamaa na hasa hasa King dah ! Yakamchukua TH hivi hivi asubuhi na mapema. Aseno eti anaogopa steresi kumbe visingizio tu...

Kwa sis watakwama. Hababaishwi wala kutetemeshwa yule indeed wallahi mane lavusi mi ai tachi niu mane everedei Masaki Peninsula is my home japo kwa sasa nimehamia Dubai Lucifer Orijino is mai neimu Amun Ra [emoji16][emoji16][emoji16][emoji2099][emoji2099][emoji2099]
 
Umasikini na Elimu, lakini nadhani sana sana ni Elimu.
Umesikia Kilimanjaro huko? Nako limeanguka jingine nasikia wananchi hao na vidumu vyao tena. Polisi wasingewahi sijui ingekuwaje. Nadhani siyo umasikini wala elimu peke yake bali ni utamaduni tu wa watu kupenda dezo kupita kiasi. Matokeo ya falsafa ya hovyo ya jamii ya kupenda mteremko, kufuja mali ya umma bila kujali; ubinafsi wa kutisha unaopelekea watu kupenda kujinufaisha kwa njia yo yote ile hata kama huna uhitaji.

Hili suala inabidi liangaliwe kwa upana wake kwa sababu mimi naamini, kama nilivyogusia hapo juu, limefungamana na utamaduni wetu mzima kama jamii. Sitashangaa kuona kuwa waliokimbia kwenda kuchota mafuta haya baadhi yao wala hawayahitaji kivile na wanajua kabisa madhara yake...

IMG-20190811-WA0013.jpeg
 
Ukiwa masikini wa kipato kwa muda mrefu pia unakuwa masikini wa akili (fikra).
Watu wanapenda vitu vya dezo hata kama wana uwezo wa kuvipata kwa nguvu zao
Hata K'njaro kweli wana njaa kiasi hicho? Hii si ndiyo Dubai na Cambridge ya Tanzania? Wakati mwingine ni tabia tu tuliyonayo Wabongo ya kupenda vya bure...tabia ya hovyo !!!

[emoji3591][emoji3591][emoji3591] Kwa wazungu huko hususan Marekani serikali ina utaratibu wa kutoa vipesa kidogo kila mwezi kusaidia watu masikini wasiojiweza ili waweze kujinunulia mahitaji ya muhimu kama chakula. Ni jambo la aibu sana kuingia katika utaratibu huu wa kupatiwa hizi hela za bure katika mfumo huu wa welfare na watu huwa wanapambana sana kutoingizwa huko labda mpaka pale mtu kashindwa kabisa njia zingine zote. Wana utamaduni tu wa kuchukia vitu vya bure/umma na ni kawaida kwao kukataa misaada hii. Huwa najiuliza utaratibu kama huu ukija Bongo sijui itakuwaje. Naona kila mmoja atagombania na hata kuhonga ili kuingizwa huko ili apate vitu vya dezo [emoji16][emoji16][emoji16]
 
Umesikia Kilimanjaro huko? Nako limeanguka jingine nasikia wananchi hao na vidumu vyao tena. Polisi wasingewahi sijui ingekuwaje. Nadhani siyo umasikini wala elimu peke yake bali ni utamaduni tu wa watu kupenda dezo kupita kiasi. Matokeo ya falsafa ya hovyo ya jamii ya kupenda mteremko, kufuja mali ya umma bila kujali; ubinafsi wa kutisha unaopelekea watu kupenda kujinufaisha kwa njia yo yote ile hata kama huna uhitaji.

Hili suala inabidi liangaliwe kwa upana wake kwa sababu mimi naamini, kama nilivyogusia hapo juu, limefungamana na utamaduni wetu mzima kama jamii. Sitashangaa kuona kuwa waliokimbia kwenda kuchota mafuta haya baadhi yao wala hawayahitaji kivile na wanajua kabisa madhara yake...

View attachment 1178719

Duu, kama ndio hivyo basi hatujielewi. Hatari sana hii.
 
Back
Top Bottom