Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Hahah acha hizo bro...huyu pia mnataka kumuiba kama TH eeh
Kwa TH mpaka leo sijaamini. Majamaa na hasa hasa King dah ! Yakamchukua TH hivi hivi asubuhi na mapema. Aseno eti anaogopa steresi kumbe visingizio tu...

Kwa sis watakwama. Hababaishwi wala kutetemeshwa yule indeed wallahi mane lavusi mi ai tachi niu mane everedei Masaki Peninsula is my home japo kwa sasa nimehamia Dubai Lucifer Orijino is mai neimu Amun Ra [emoji16][emoji16][emoji16][emoji2099][emoji2099][emoji2099]
 
Umasikini na Elimu, lakini nadhani sana sana ni Elimu.
Umesikia Kilimanjaro huko? Nako limeanguka jingine nasikia wananchi hao na vidumu vyao tena. Polisi wasingewahi sijui ingekuwaje. Nadhani siyo umasikini wala elimu peke yake bali ni utamaduni tu wa watu kupenda dezo kupita kiasi. Matokeo ya falsafa ya hovyo ya jamii ya kupenda mteremko, kufuja mali ya umma bila kujali; ubinafsi wa kutisha unaopelekea watu kupenda kujinufaisha kwa njia yo yote ile hata kama huna uhitaji.

Hili suala inabidi liangaliwe kwa upana wake kwa sababu mimi naamini, kama nilivyogusia hapo juu, limefungamana na utamaduni wetu mzima kama jamii. Sitashangaa kuona kuwa waliokimbia kwenda kuchota mafuta haya baadhi yao wala hawayahitaji kivile na wanajua kabisa madhara yake...

 
Ukiwa masikini wa kipato kwa muda mrefu pia unakuwa masikini wa akili (fikra).
Watu wanapenda vitu vya dezo hata kama wana uwezo wa kuvipata kwa nguvu zao
 

Duu, kama ndio hivyo basi hatujielewi. Hatari sana hii.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…