Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Hata hivyo, mambo yalibadilika baada ya kuingia Moyes na baadaye Louis Van Gaal ambaye aliishia kumuuza tena kwa dau dogo tu staa huyo kutokana na kasi yake ya kufumania nyavu kushuka.

Alitua Fernabahce kwa dau la pauni 3.8 milioni na kufunga mabao 16 kisha akatimkia zake Feyenoord mwaka 2017 na kuipa ubingwa wa KNVP.
 
Alexander Buttner

Agosti 21, 2012, Büttner alitia saini ya kuichezea United na mechi yake ya kwanza ilikuwa ya ushindi wa 4-0 dhidi ya Wigan huku akichangia bao la pili.

Msimu wake wa pili, chini ya Moyes haukuwa mzuri na alicheza mara 13 na mwaka 2015 akaondoka zake baada ya kukwaruzana na Louis Van Gaal aliyechukua nafasi ya Moyes.

Alitimkia Dynamo Moscow, kwa dau la pauni 5 milioni na msimu uliofuata akapelekwa Anderlecht kwa mkopo. Mwaka jana alitua Vitesse, lakini cha ajabu hadi kufikia Aprili mwaka huu, hakuwa ameingia dimbani hata mara moja.

Angelo Henriquez

Alisajiliwa United akiwa na miaka 18 kwa euro 4 milioni baada ya kuifungia Universal de Chile, mabao 15 katika michezo 26.

Hata hivyo, alishindwa kupata namba kwenye kikosi cha kwanza na akaishia kupelekwa kwa mkopo Wigan na kubeba taji la FA. Baadaye alijiunga na Dynamo Zagreb, ambako alifunga mabao 29 katika mechi 37.

Wilfried Zaha

Kwa sasa ndio roho ya Crystal Palace akipiga mpira mwingi kwelikweli baada ya kuondoka United.

Zaha alisajiliwa na Ferguson, Januari 25, 2013 lakini baadaye alipelekwa Crystal Palace kwa mkopo.
 
Nadhani ni utamaduni wetu tu. Kuna jirani yetu mmoja mtaa mzima huwa hawamkabidhi majukumu ya jikon kwenye shughuli yoyote ile inayohusu jumuiko kubwa la watu. Maana hapo atakua kaandaa mapoti na mifuko ya kutosha kwa ajili ya kusombea wali na nyama au mchele na chochote kile kitakachokuwepo hapo bila kujali ataharibu bajeti ya shughuli nzima.

Pili,kuna siku nilienda kwenye sherehe kulikua na msosi wa kila aina basi waafrika tulivyo kila anayepakua anajaza mlima wakat uwezo wa kumaliza hamna.

Kwenye masherehe waandaaji na wenye shughuli huwa wanapata hasara hasa kwenye vijiko na glass watu wanaiba kama hawana akili nzuri
 
 
Aisee
 
Umepiga mule mule bagheshi wane ntogwa. Ni utamaduni wetu tu. Hao wanaoiba hivyo vijiko na gilasi huko kwenye masherehe siyo kwamba wanavihitaji sana...na wana uwezo wa kujinunulia wakitaka....

Na kwa utamaduni huu kamwe hatutakaa tuutokomeze ufisadi....sad !!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…