Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

66617131_156697535512350_8123117682268877189_n.jpg
 
 
Huu uzi nimecheka sana...jamaa ana sifa kama zote[emoji23][emoji23]...kwamba kamwe hanunui gari ambalo km tayali zimesoma[emoji23][emoji23]
 
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Pitia mitaa ya vetinari au katishia vichochoro vya Ndalala achana na vikona kona vya kilabuni ila usifike daraja la Tazara... Njia rahisi zaidi ni kupitia kata ya 14...
Njia ya kushukia (achana na kichochoro cha Wah...a) Sokota unaijua vizuri?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Ankoo hizo kona zote sijapata hata moja,,,nilichoambulia ni hapo kwa Wa...ya pekee[emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom