Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
Anaingilia maisha ya watu bro..kifupi hana jipyaHili swali kila mtu anauliza! Lakini hilo anataka kufanya linamuhusu ama ndo kuingilia maisha ya watu?
[emoji16][emoji16][emoji16] wazee wa british kingdom[emoji119][emoji119]Wameshamdadavua huyo. Ni watani zangu Wahaya hawa. Wana mbwembwe hatari [emoji16][emoji16][emoji16]
Ankoo ana tabu sana,maelezo yote yale kumbe anataka kunielekeza ile mitaa ya Wa...ya[emoji16][emoji16][emoji16]Huko kwa Wa...ya anko wako sijui alikuwa anajipitisha pitisha kufanya nini huko [emoji16][emoji16][emoji16][emoji2099][emoji2099][emoji2099]
MashaAllah...
Hahaha King katekwa haswaa...ngoja tumuombee uzimaSafari hii King Dave sijui suruali yake imelowekewa wapi...Akija kuachiwa maneno meengiii [emoji16][emoji16][emoji16]
View attachment 1179608
Salama Fraggy?pole na majukumu na karbu tena.Dah!