Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

java script ipo kwenye ratiba yangu ya kujifunza ndani ya miezi hii inshaallah
 
👍 👍
 
 
Eneo Nyumba ilipo na Umbali



Inaweza kuwa nyumba nzuri sana kwa muonekana , lakini kama itakufanya utumie masaa mawili njiani au kuongeza gharama za usafiri, basi fikiria mara mbili. Kila mara anza kwa kuangalia usafiri wako, usafiri wa umma, foleni pamoja na uwezekano wa kufika baadhi ya maeneo muhimu. Inachosha kama itakubidi kila siku uamke masaa mawili mapema zaidi ili tu uwahi kwenda kazini, na siku hali ya hewa ikiwa mbaya kidogo basi unachelewa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…