Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 348,970
- 1,252,247
Marekebisho
Kabla ya kupanga nyumba, pia fikiria kuhusu marekebisho utakayotakiwa kuyafanya wakati wa kuhamia. Kuna baadhi ya nyumba zinakua zinaonekana vizuri tu kwa nje. Lakini ndani, marekebisho yanakuwa makubwa na huweza kukuongezea gharama zisizo za msingi.