Unaweza kufanya hivi kwa kuwaonesha a video au kuwaandikia makala zinazowaelimisha na zenye thamani kwao. Mfano, kama unafanya biashara ya nguo, unaweza kuandaa video au kuandika makala kuhusiana na mitindo iliyoko kwenye chati, njia mbalimbali za kuwaa mrembo n.k. Kwa kufanya hivi, unatengeneza jamii inayokuamini na itakuwa rahisi kwao kununua bidhaa kutoka kwako.