Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 348,970
- 1,252,247
Peruzi Twitter, Instagram, magrupu ya Facebook ili kujua.Kama unauza magari, kuna magrupu Facebook ya wauzaji na wanunuzi wa magari.
Kabisa Ankoo, sisi ni wamoja.Hata mwandiko wako una tabia fulani hivi inayo vutia wengi...Me pia natumia mashoto kucheza mpira. Kundi hili linanihusu Uncle?
Sawasawa..Peruzi Twitter, Instagram, magrupu ya Facebook ili kujua.Kama unauza magari, kuna magrupu Facebook ya wauzaji na wanunuzi wa magari.
He! jamaa kaisha kwa Mariam