capitalpool
JF-Expert Member
- Sep 18, 2017
- 22,369
- 121,270
Sana carba...ilienda vyema hope na kwako pia..Natumai eid ilikuwa njema sana kwako.
Hujambo?
Heh!!! njaa mwana malegeza!Watu na vidumu vyao...
View attachment 1180524
Bingo !Hamna buana mi nna ka German Shepherd tu !
Wakati mwingine wala siyo njaa bali ni mazoea tu...Heh!!! njaa mwana malegeza!
We unao wengi tu... niuzie mmoja basiBingo !
Nilijua tu huwezi kukosa kambwa home....
Hata breed mi sizijui japo nimekua na kundi la mbwa kama 6 hivi huko kijijini nikienda kuchunga jioni nikirudi lazima nije na swala au sungura kadhaa.